This is your very first post. Click the Edit link to modify or delete it, or start a new post. If you like, use this post to tell readers why you started this blog and what you plan to do with it.

This is the post excerpt.
This is your very first post. Click the Edit link to modify or delete it, or start a new post. If you like, use this post to tell readers why you started this blog and what you plan to do with it.

1Wakorintho 13:1-13
Mtu mzima huweza kutoa na kupokea upendo.lakini jambo hili halifanyiki hivyo tu kwa umri. Ni lazima kujifundisha,kijana ambae amekuwa katika nyumba ambayo upendo hutolewa au huonekana wazi,atakuwa mtu mwenye mapenzi au upendo.yeye anajua kwamba upendo ni karamu,haujipendi na ni wazi kwa sababu hivyo ndivyo huelezeka na kuonekana kupeana na kupokea upendo au mapenzi kunaweza kuwa jambo ngumu na lenye ujuzi mpya kwa wengine wote.
Binadamu wote wangetaka kusikia wanapendwa.kama hawawezi,watakuwa hawana usalama na hawawezi kupenda wengine. Katika kutokuwa na usalama kwao,wanaweza kuwafikia na kutumia watu wengine badala ya kuwapenda. Vijana hasa hutaka upendo. Kama wakihakikishiwa upendo na mspenzi nyumbani,hawataninginia kwa kukata tamaa kwenye watu wengine na pengine kujiingiza kwenye uhusiano ambao ni wa kuumiza na usio na faida yo- yote.
Question.
Ina maana gani kumpenda mtu mwengine?